MJ

MJ
Breaking News
recent

POLISI WASAMBALATISHA WAFANYABIASHARA MWENGE



NA Doroth Mnubi

JESHI la polisi limetumia silaha za moto kuwatawanya wafanya biashara katika eneo la mwenge, wilaya ya Kinondoni maeneo ya soko la mwenge ni baada ya wateja kuegesha magali katika eneo la barabara wakati wakinunua bidhaa zao.




Taharuki iliwakumba wakazi wa eneo hilo mara baada ya polisi hao kuanza kuwatawanya wafanyabiashara hao waliofunga barabara wakishinikiza magari yaruhusiwe kupaki katika eneo hilo.inawezekana kuwa polisi wamezuia watu kupaki magari katika eneo hilo hili iliyosababisha wafanyabiashara hao kutofungua biashara zao
Mmoja wa wafanyabiashara hao shuhuda wa tukio hilo, musa Godwin alisema polisi walifika sokoni hapo saa 12 asubuhi na kutawanya wafanyabiashara waliofunga barabara wateja na wasiendeshe magari yao

No comments:

Powered by Blogger.