MJ

MJ
Breaking News
recent

KIKI ZAMPONZA HARMORAPPA BAADA YA KUMUINGIA WEMA



NA DOROTH MNUBI

 Harmorapa ameingia katika anga sio zake baada ya kumuingia miss Tanzania 2006 Wema Sepetu kuwa anatangaza nia ya kutaka kumuoa na kumpa kila atakacho taka mrembo huyo kupitia mtandao wa kijamii wa instagram.http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2017/04/Hamorapa-Front-19-at-2.26.38-PM.jpeg



 Kupitia mtandao huo wema amekasirishwa na ujumbe huo na kuamua kujibu kwa kumwandikia ujumbe wenye mzito kwa chipukizi huyo aliyekuja kwa kasi ujumbe  huo ukisema

“SIJAWAHI KUMCHUKIA YEYOTE ANAYEHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI YAKE KWA KUWA NA MIPIA NATAFUTA ILA MDOGO WANGU HAMORAPPA UGETTING TO MUCH PIGANA NA NAMNA UTAKAVYO KUPELEKA MZIKI NA JINA LAKO JUU BUT GET ME OUT OF THIS . NAKUHESHIMU KAMA MSANII MWENZANGU LAKINI HILI LA KUTAKA KUNITAKA KIMAPENZI NA KUONYESHA UTAYARI WA KUTAKA KUFANYA MAMBO KADHA WA KADHA KWANGU  PLS WAAMBIE WATU WENGINE MNAOWEZA KUWEDHANA NAO ILA SIO MIMI SIO WA AINA HIYO.
USIIHARIBU IMAGE YANGU NILIYOPIGANIA MUDA WOTE USINIHARIBIE HESHIMA YANGU NINAYOIGENGA SASA KATIKA CHAMA CHANGU CHADEMA USINIHARIBIE KWENYE FAMILIA YANGU ,MARAFIKI ZANGU NA USINIHARIBIE KWA NILIYE NAE. NI UTOTO NA UJINGA KUPOSTI KILA UCHAO PICHA ZA WANAWAKE ETI WANAKUTAKA AU UNATOKA NAO DO U THINK NAMINI NI WAAINA HIYO USIDHARAULISHE. NADHANI KUNA BUSARA YA WEWE TO LOOK FOR ANOTHER ONE BUT AM NOT FOR U AND IHOPE UTANIPA HESHIMA YANGU KAMA DADAAKO MSANII MWENZAKO LETS STOP THERE’’ Amesema sepetuhttps://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/03/wema-sepetu11.jpg

No comments:

Powered by Blogger.