MJ

MJ
Breaking News
recent

MADAKTARI 258 WALIOOMBA AJIRA KENYA WAPATIWE AJIRA NCHINI

NA DOROTH MNUBI


Raisi John Pombe Magu ameamulu madaktari wa nchini Tanzania waliokuwa wameomba ajira nchini Kenya waajiliwe katika hospitali mbalimbali nchini hayo yamesemwa leo bungeni na  waziri wa afya MH Ummy Mwalimu jijini dodoma.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGi74JfOo_K0lqMAUhNQUszKp2oCEZBBQhYRC1Z-xHZ9v2qofqUjpb9fUld39ej2BsgsdXmsuUdc2IgAPbNhFVB2H_TO5kRJnOV8bNiY0x-W2O2oY85LsfaRYNlB2c3QEPpDu2prk_aScw/s1600/Muheza+image+1.JPG

Madaktari hao waliokuwa katika utaratibu wa kuhakiki viambataisho vyao ili waweze anza safari ya kwenda nchini humo ila ilishindikana baada ya pingamizi kutoka kwa madaktari watano kutoka nchini kenya katika mahakama nchini mwao kutaka kusitisha usajili huo.

Rais Magufuli ameamulu madaktaria hao kupewa ajira baada ya kupatikana kwa fedha za kuwaajili madaktari katika hospita litofaiti tofauti nchuni

No comments:

Powered by Blogger.