YAMOTO BAND KUJA NA BASI
NA Doroth Mnubi
BAADA ya kimya cha muda mrefu cha kundi la muziki la yamoto bendi sasa wameamua kuja na kibao chao kipya kinacho kwenda kwa jina la BASI ambacho wamekiachia jana siku ya ijumaa katika kipindi cha leo tena clouds radio.
Kundi hilo ambalo lilikuwa kimya kwa muda wa miezi saba toka watoe kibao chao cha mwisho kilicho kwenda kwa jina la SU na baada ya wiki tatu kuachia bonus track iliyo kwenda kwa jina la MIJUDO
Msimamizi wa kundi hilo amekanusha uvumi wa kwamba kundi hilo limetengana baada ya kila mtu katika kundi hilo kutoa wimbo wa kwake pekeyake hasa aslay.
''kundi hili bado lipo kama kawaida na siwezi kumzuia mtu mwenye wimbo wake binafsi kuutoa kwa sababu kila mtu ana nafasi yake katika mziki''Amesema Babutale
PIA akiongezea kusema amesema vijana wake wamekuja kivingine kwaiyo mashsbiki wategemee makubwa kutoka kwao.

No comments: