MJUE DIAMOND MBALI NA MZIKI
Nassib
Abdul Juma amelizaliwa tarehe 2 mwenzi wa 1989 ni mtunzi, mwanamuziki
pia ni mfanyabiashara.Diamond ni mtoto wa pekee kwa bi sandra aliye mzaa katika hospitali ya Amana iliyopo katika wilaya ya ilala jijini Dar es salaam na akiwa na umri mdogo wazazi wake walitengana na kumfanya diamomdi asilelewe na baba yake ila alipata malezi ya mama pekee, ulipofika mwaka 1996 alianza shule ya msingi Tandalemaghalibi na kuhitimu darasa la saba 2002 na kujinga na sekondari mwaka uliofuata, Kwa mujibu wa Diamond, mwaka 2008 na 2009 alikuwa akifanya kazi
katika kiwanda cha mabegi kilichoko Mikocheni na kulipwa mashahara wa
shilingi 2,000 kwa masaa 8, huku nauli ikimgharimu shilingi 1,000 mpaka
kufika kwao na hapo chakula ni zaidi ya shilingi 1,000. “Ukimuona mtu
ana mafanikio kiukweli ujue amehangaika sana, mimi katika maisha yangu
sikuwahi kufikiria kama ningelikuja kupanda ndege kwa kutumia pesa
yangu, namshukuru sana Mungu na haya ni matunda ya kazi ngumu ambazo
huwa nazifanya,” alisema. Msanii huyo aliwataka wapenzi wa kazi zake
kufanya kazi kwa bidii kwa kipindi ifupi ili kufanikiwa katika maisha
yao na kuonekana watu katika jamii na sio kudharaulika.
. Diamond anawatoto wawili Tiffah na Nillan ambao amezaa pamoja na mpenzi wake Zari the boss lady pamoja Msanii huyu alianza safari yake ya muziki mwaka 2007 amabapo alitoa nyimbo iliyo julikana kwa jina la TOKA MWANZO ambayo haikumfanya yeye kujulikana kwa watu ila kwa kuwa muziki ulikuwa kawenye damu Diamond hakukata tamaa bali alizidi kusonga mbele na baadae akatoa kibao cha NENDA KAMWAMBIE hichi ndi kilianza kumjulisha diamond kwa jamii na nyota yake kuanza kung'aa katika tasinia ya muziki kutoa nyimbo mbalimbali zilizozidi kumpa jina katika nchi hii ya Tanzania
Diamond anaonekana ni mhamasishaji na mpendwaji mkubwa kwa mashabiki wa muziki wa bongo fleva. Zaidi ya hapo inasemakana ni msanii anayeongoza kwa mapato ya muziki katika nchi ya Tanzania kwa sasa. Pia yeye ndiye msanii ambaye inasemekana anaongoza kwa mauzo ya ringtones katika muziki wa Bongo fleva mwaka 2013 pia ndiye msanii ambaye analipwa ghali katika show zake kiasi cha milioni 100 alilipwa katika Tigo kiboko yao concert.
Diamond mpaka sasa ametoa ngoma zinazojulikana zaidi ya 30 ambazo ni
Mwaka 2016 alifanikiwa kuwasaini wasanii watatu katika Lebal yake ya muziki inayoitwa Wasafi Classic Baby ambao ni Harmonize, Rich Mavoko na Rayvanny ambao wanafanya vizuri sana pia ameweza kuanzisha mtandao wake wa kuuza muziki wa wasanii mbalimbali inayoitwa Wasafi.com.
. Diamond anawatoto wawili Tiffah na Nillan ambao amezaa pamoja na mpenzi wake Zari the boss lady pamoja Msanii huyu alianza safari yake ya muziki mwaka 2007 amabapo alitoa nyimbo iliyo julikana kwa jina la TOKA MWANZO ambayo haikumfanya yeye kujulikana kwa watu ila kwa kuwa muziki ulikuwa kawenye damu Diamond hakukata tamaa bali alizidi kusonga mbele na baadae akatoa kibao cha NENDA KAMWAMBIE hichi ndi kilianza kumjulisha diamond kwa jamii na nyota yake kuanza kung'aa katika tasinia ya muziki kutoa nyimbo mbalimbali zilizozidi kumpa jina katika nchi hii ya Tanzania
Diamond anaonekana ni mhamasishaji na mpendwaji mkubwa kwa mashabiki wa muziki wa bongo fleva. Zaidi ya hapo inasemakana ni msanii anayeongoza kwa mapato ya muziki katika nchi ya Tanzania kwa sasa. Pia yeye ndiye msanii ambaye inasemekana anaongoza kwa mauzo ya ringtones katika muziki wa Bongo fleva mwaka 2013 pia ndiye msanii ambaye analipwa ghali katika show zake kiasi cha milioni 100 alilipwa katika Tigo kiboko yao concert.
Diamond mpaka sasa ametoa ngoma zinazojulikana zaidi ya 30 ambazo ni
- isachi”
- pi Sijasikia”
- “Kamwambie”
- “Nalia na mengi”
- “Mbagala”
- “Nitarejea”
- “Binadamu”
- “Kizaizai”
- “Lala Salama”
- “Moyo Wangu”
- “Mawazo”
- “Kipofu”
- “Kisa”
- ″Nimpende nani″
- “Chanda Chema”
- “Ukimwona”
- “Nkifa Kesho”
- “Nataka Kulewa”
- “Kesho”
- “Mapenzi Basi”
- “Uswazi take away remix”
- “Nieleze”
- “Natamani”
- “Number One Remix” (featuring Davido)
- “Mdogo mdogo”
- “Bum Bum” (featuring Iyanya)
- Lala Ukisinzia,Ntampata, Wapi,Nasema Nawe”,Nakupenda pia Nana.
- Utanipendaga
- Salome
- Marry you
Diamond ameshinda tuzo 22 katika ya 28 alizoshiriki.
Msanii maarufu kama Simba ni balozi wa
makampuni kama vodacom, Cocacola pia watoto wake wameweza kupata kuwa
mabalozi mfano Tiffah ambaye ni mtoto wake wa kwanza wa kike ni balozi
katika Nmb junior account,Pugu shopping na Msasani shopping mol kwa
upande wa nguo za watoto.Mwaka 2016 alifanikiwa kuwasaini wasanii watatu katika Lebal yake ya muziki inayoitwa Wasafi Classic Baby ambao ni Harmonize, Rich Mavoko na Rayvanny ambao wanafanya vizuri sana pia ameweza kuanzisha mtandao wake wa kuuza muziki wa wasanii mbalimbali inayoitwa Wasafi.com.
Diamond amejenga misikiti maeneo mbalimbali Tanzania ikiwemo mkoa
wa Morogoro, pia amewajengea watu mbalimbali nyumba katika mkoa wa
Iringa kwa ujumla Diamond hupenda kuwasaidia sana wanajamii wenzake
pindi anapoguswa na jambo fulani linalohusu jamii
Mbali na mziki pia diambond ni mfanya biashara ambapomwezi huu amwzindua purfume yale inayojulikana kwa juna la CHIBUPURFUME ambayo kwa sasa ipo madukani kwa shilingi laki na elfutano
Mbali na mziki pia diambond ni mfanya biashara ambapomwezi huu amwzindua purfume yale inayojulikana kwa juna la CHIBUPURFUME ambayo kwa sasa ipo madukani kwa shilingi laki na elfutano
No comments: