MISHONO 6 YA VITENGE
Lets kick off Furahi day na mishono mikali kama 6 hivi ya african prints/vitenge.I believe kuwa huwa mishono haitoshi kila siku tunapenda kutafuta vitu vipya na designs mpya za kujaribu.

kitenge with a round color

max skirt mix na lace
pencil dress


peplum top

kitenge dress with cut outs


jumpsuit at its best
No comments: